Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220203-061117_Opera%20Mini.jpg
 
UNAAMBIWA:

Anna na Lucy DeCinque kutoka Perth nchini Australia ni Mapacha ambao wamepewa jina la Mapacha wanaofanana zaidi Duniani, Mapacha hao wenye umri wa miaka 34 wanafanya diet inayofanana, wamefanya pia upasuaji ili kuwafanya wafanane zaidi na zaidi ya yote Mpenzi wao ni mmoja ambaye anaitwa Ben (39) na wanalala nae kitanda kimoja.

Mpenzi wao Ben ametoboa siri kuwa Mapacha hao wanakula mlo mmoja tu kwa siku na kufanya mazoezi kwa saa sita kila siku kama sehemu ya kuendelea kuiweka miili yao fit "wasipofanya mazoezi wanapata stress yaani"
Screenshot_20220203-185816_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom