Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
UNAAMBIWA:
Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015) inaeleza kuwa ni kosa kwa Mtu yoyote kufanikisha utumwaji au kutuma maudhui yoyote ya kidigitali yenye kumdhalilisha/ kuumiza hisia Mtu mwingine, adhabu yake ni faini isiyopungua Tsh. Milioni 5 au kifungo kisichopungua miaka mitatu au Jela au vyote.