Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naishi maisha yangu [emoji847] naenjoy mimi na maisha yangu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220205-220327_Gallery.jpg
 
Naenda kukutangaza kule jukwaani live Band..[emoji23][emoji23]

Nasema kuna demu wangu hapa anaitwa shunie...[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie unanijua we na wana jf wenzio nikitoka nje ya jf ukiniita shunie watu watakushangaa hivi unamwita naniii
 
| Moses Phiri Mambo yameiva Simba
.
Mambo yameiva pale Zambia. Mshambuliaji hatari Moses Phiri amefunguka kwamba msimu ujao anatua Msimbazi baada ya makubaliano ya awali kufanyika
.
“Bado mimi ni mchezaji wa Zanaco, lakini kama Simba wamekuja na ofa nzuri mezani kwa nini nikatae wakati mpira ndio kazi yangu.”
.
“Uwepo wa Chama na Bwalya katika kikosi cha Simba kimenifanya niridhike kuwa, kikosi cha timu hiyo kinaundwa na mastaa wanaotaka mafanikio.”
.
“Naongea sana na Chama ni rafiki yangu sana ameniambia nipambane kuhakikisha nakuja huko, nafatilia mechi nyingi za Simba ni timu kubwa.” Amesema Phiri.
Screenshot_20220206-080329_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom