Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210620_201816.jpg
 
Hongera wababa wote humu jukwaani na kwa sisi mastepdad lazima tupongezwe zaidi sababu tumejitolea kuwa baba wa watoto wa wanaume wenzetu.


Wiki njema watu wema
 
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amemuapisha Nickson Simon maarufu nikki wa pili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akichukua nafasi ya Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, zoezi la kuapishwa limefanyika kwenye Ofisi ya RC Pwani iliyopo Kibaha.
20210621_175244.jpg
 
Wasanii wanaounda kundi la HipHop la Weusi akiwemo Joh Makini, Lord Eyes na G Nako ni miongoni mwa waliofika kwenye Ofisi ya RC Pwani iliyopo hapa Kibaha kushuhudia zoezi la uapisho wa Ma-DC wa Wilaya zilizopo Mkoani Pwani akiwemo Msanii mwenzao wa Weusi Nickson Simon maarufu ambaye ameapishwa na RC wa Pwani Abubakari Kunenge leo kuwa DC wa Kisarawe.
20210621_175448.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom