Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amemuapisha Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mkoani Mara.
20210621_175645.jpg
 
Mkuu wa Wilaya Rorya Juma Chikoka maarufu Chopa Mchopanga ametembelea na kukagua mazingira ya Shule ya Msingi Utegi iliyopo Wilayani humo, muda mfupi baada ya kuapishwa hii leo.

Akiwa Shuleni hapo pamoja na mambo mengine DC Chikoka amewaagiza Walimu kuhakikisha wanasimamia na kutunza vizuri miti ya asili iliyopo Shuleni hapo kwa lengo la kudumisha utunzaji wa mazingira.
20210621_180107.jpg
 
Kutoka katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja, hizi ni picha za matukio mbalimbali yaliyojiri wakati wa RC wa Dar es salaam Amos Makalla akiwaapisha Wakuu wapya wa Wilaya mbalimbali za Mkoa wa Dar es salaam mapema leo.
20210621_180215.jpg
20210621_180234.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom