Marufuku kukata tamaaHahahahaha mkuu , tuache kutiana moyo
ni kweli ila msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ...au nadanganya ndugu yanguMarufuku kukata tamaa
Safi kabda Shunie, nikutakie weekend njemaKwema baba wawili za wewe
mjomba mnafiki wa familia yetu , si umuite shem lakini ?Safi kabda Shunie, nikutakie weekend njema
Asante baba wawili na kwako piaSafi kabda Shunie, nikutakie weekend njema
Ile post ya kipole na ya kutia huruma "shunie asante kwa magazeti" sijaiona leomjomba mnafiki wa familia yetu , si umuite shem lakini ?
sasa mjomba ata nayo sijibiwi nifanyeje ?Ile post ya kipole na ya kutia huruma "shunie asante kwa magazeti" sijaiona leo
Nakuchokoza tuu sina manenoAbeeh
HahahaNakuchokoza tuu sina maneno
Huna ubavu wa kuninunia kaone kwanza...Hahaha
Unataka nikununie eenh
sasa mjomba ata nayo sijibiwi nifanyeje ?
sema kesho inaweza kushinda na nikafutiwa divorce


mshirikishe binamu yetu wa ukoo, kwa hali uliyofikia ni yeye pekee anaweza okoa hili