Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,695
- 185,197
Ndiyo tayari ashakua kwenye system ni kucheko kwenda mbele, ila u- DAS hauna hatari ya Kufukuzwa saa yoyote kama U- DC na U - RC...Kuna Wakuu wa Wilaya wawili wateule kwenye hii post wote kutoka Mkoani Lindi, Hassan Ngoma ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, kabla ya uteuzi huo Ngoma alikuwa DAS Singida.
Kuna Hashimu Komba pia ambaye ameteuliwa kuendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea. View attachment 1824364View attachment 1824366
mtoto mlito