Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Hahhahaah kaa kimya hivyohivyo [emoji7][emoji7][emoji8] Inapendeza sana... Wacha nikae kimya tu...
Hahhahaah kaa kimya hivyohivyo [emoji7][emoji7][emoji8] Inapendeza sana... Wacha nikae kimya tu...
....na usisahau wale wajuba wa enzi za Lot (Lutu) waliopigwa upofu wakiwa katika harakati za kutaka kuwalawiti (homosexual relations with the angels). Wajuba waliwakataa mabinti bikira wakawataka kukomangana na wanaume wenzao. Haijaanza leoHeeeeh kumbe haya mambo yameanza zamani sana, lol
Asante binamu yangu kwa kushukuru ila usitekwe sana basi binamu
Usicheke dea jaman, [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhahhaa
Hakika kabisaa yaaan.Tusiokuwa na hela ni mimi na wewe
Sasa km ilianza zamani za kale sana, mbona sahivi inaonekana ajabu au ni jambo jipya kutokea? Huu utakua ni unafiki sasa.....na usisahau wale wajuba wa enzi za Lot (Lutu) waliopigwa upofu wakiwa katika harakati za kutaka kuwalawiti (homosexual relations with the angels). Wajuba waliwakataa mabinti bikira wakawataka kukomangana na wanaume wenzao. Haijaanza leo
Nimemaanisha mimi bwanaKumbe huyo uliyemtaja ni kibonge? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nawazaga ni Slim tall hivi. Uwiiiiiiih
Sijui kua sijuiJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito
[emoji120]Asante mkuu kwa magazeti