Makapuku Forum

Makapuku Forum

"Mabenki yanatukopesha lakini riba zake ni kubwa, mimi mwenyewe nimekopa juzi kama mwezi mmoja hivi nimekopa MILIONI 600 katika MILIONI 600 riba ni asilimia 19, hivi tunalipaje?, kipindi kilichopita nilikopa BILIONI 1.532, nimemaliza kulipa wamenipa barua ya kunishukuru riba peke yake wameandika pale kunishukuru MILIONI 918, hiyo ni BILIONI nyingine, tunaomba benki waweze kupunguza riba kama mama jana alivyosema"——— Deo Kasenyenda Sanga, Mbunge wa Makambako. View attachment 1818689
Kumbe nchi ina hela hivi? Daaaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom