Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu watatu wa familia moja ambao ni Mama na Watoto wake wawili wamezikwa leo kwenye makaburi ya Kondo Bahari Beach jijini Dar es salaam siku chache baada ya kuuwawa nyumbani kwao Masaki Dar es salaam, mauaji ambayo Houseboy/Mlinzi anatuhumiwa kuyafanya.

Mama anaitwa Emilly Mutaboyerwa na Watoto ambao ni Daniel Mutaboyerwa (15) na Damita Mutaboyerwa (13), tukio la mauaji hayo linadaiwa kutendeka June 9, 2021 mtaa wa Maryknoll Masaki DSM, bado tunaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu mauaji haya.


20210614_175115.jpg
20210614_175137.jpg
20210614_175158.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom