AminaaaBarikiwa
Nataka jumapili ya jana irudiwe irudiwe,sikuona vizuri ile chupaHahhahahahah leo hii baba wawili
Saa mbili za kivuko?sijaelewa hii sentensi ya mwishoRais Samia Suluhu leo ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza ikiwa ni siku ya pili, amekagua ujenzi wa Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2, barabara unganishi ni kilomita 1.6, gharama za ujenzi ni Bilioni 716 na muda wa kuvuka ni dakika 4 badala ya saa mbili kwa kivuko. View attachment 1818299
He heNataka jumapili ya jana irudiwe irudiwe,sikuona vizuri ile chupa
Masaa mawili hayo baba wawiliSaa mbili za kivuko?sijaelewa hii sentensi ya mwisho
Mremboo!Rais Samia Suluhu amezindua mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Misungwi Mkoani Mwanza ambao unazalisha lita milioni 4.5 kwa siku, utaunganishwa kwa Wateja 2,158 na kunufaisha Wakazi 64,000 wa Misungwi na jirani, umegharimu shilingi Bilioni 13.77. View attachment 1818604View attachment 1818605View attachment 1818606
AbeehMremboo!