makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,870
- 104,078
Alikuwa anapita jimboni bila kupingwa, lakini sasa sio kunipasua kichwa mie, maisha yasumbue bado nyumbani mtu asumbue.. Kwangu haiwezekaniHe he ndio angekuwa chaguo lako
Alikuwa anapita jimboni bila kupingwa, lakini sasa sio kunipasua kichwa mie, maisha yasumbue bado nyumbani mtu asumbue.. Kwangu haiwezekaniHe he ndio angekuwa chaguo lako
Maliza basi...Umeanza eenh
Nini hiyo eti nimalizieMaliza basi...
HahahahahaAlikuwa anapita jimboni bila kupingwa, lakini sasa sio kunipasua kichwa mie, maisha yasumbue bado nyumbani mtu asumbue.. Kwangu haiwezekani
Nini hiyo nikukubalie
Nikubalie vile navyotaka...Nini hiyo nikukubalie
asante sana mkuuNashukuru kwa kuyapitia
Mwambie obe mpunga umewadia.anko Obe