Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Kiungo wa Yanga Carlos Stenio Fernandes “Carlinhos” ameachana na Yanga SC na kurejea kwao Angola, hiyo ni baada ya kuomba kuvunja mkataba wa club hiyo, tetesi zinadai chanzo cha mchezaji huyo kuomba kuvunja mkataba ni kushindwa kuzoea maisha ya Tanzania ikiwemo vyakula.View attachment 1803488