Mtoto qa mama kaenda kushitaki home.Usikute alikuwa analishwa ugali na dagaa
Sherehe mke anapoolewa tu, uliona wapi sherehe na siku ya talaka!!....sasa maandamano ya kumsindikiza eapoti tunafanya lini!?

Itakuwa yupo bize uwanja wa swala kule.. Anavumbua dhahabu.Binamu umepotea maka anaoa binamu mwezi wa 10
We huonekani tatizo, nimekuita hapa jukwaani mpaka sauti imekauka, nitakuja kwako tuyajenge....duh, sijui kwanini nakuwa wa mwisho kujua khabari njema. makaveli10 jirani yangu huyu auntie, nitajongea kumuungatushehereke mapema maana harusi zetu asubuhi tu tushakianua mchana tunapiga mpunga
HahahahaSherehe mke anapoolewa tu, uliona wapi sherehe na siku ya talaka!!![]()