Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ooh sawa maka hongera sana Mungu atie heri yake mfunge ndoa salama

Yule angekuwa anakugombanisha na watu wako wa karibu kila siku mdada mkorofi sana ila ndio mapenzi sijui wivu kuna mda sisi wanawake tunajijua wenyewe

Amin shunie akee..

Yule kivuruge.. [emoji23], sikuwa na namna zaidi ya kumtema kwa usalama wa afya yangu, maendeleo na mahusiano yangu kijamii

Wivu too much
 
Amin shunie akee..

Yule kivuruge.. [emoji23], sikuwa na namna zaidi ya kumtema kwa usalama wa afya yangu, maendeleo na mahusiano yangu kijamii

Wivu too much
Wivu kwenye mapenzi mzuri sana unajua mpenzi wangu ananipenda ndio maana ana wivu ila sasa ukizidi sana sasa unakuwa wivu na ukorofi, maugomvi
 
Back
Top Bottom