Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesikitishwa na kilichotokea jana na kupelekea mchezo wa Simba na Yanga kushindwa kufanyika, TFF imewaomba Wadau na Mashabiki wa soka kuwa watulivu wakati huu wakiwa wanashughulikia kikanuni suala hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amemkabidhi mfano wa funguo ya nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria.View attachment 1778756
Nawakumbusha tena, hakuna kiasi cha pombe ambacho ni salama wakati wa ujauzito, sio bia tu hata mbege na ulanzi..kwa kifupi hauruhusiwi hata kuonja aina yoyote ya pombe ukiwa mjamzito... pombe wakati wa ujauzito inaweza kusababisha matatizo kwenye ubongo na inaweza kuathiri ukuaji..hali hiyo kitaalam inaitwa Fetal Alcohol syndrome kama anavyoonekana kwenye picha...! Sawa sawa!
Imeandikwa na Dr Paul Masua
Babe ukiona hata nimeshika chupa ya kijani kwenye mimba itupe jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.