Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,687
- 193,701
Wa kubusiana mpaka mechi zinahairishwa...Muongozo wa nini eti
Wa kubusiana mpaka mechi zinahairishwa...Muongozo wa nini eti
Tujaribu basi tuone itakuaje...Naam [emoji847]
Mimi ni nani nikupinge [emoji847]Tujaribu basi tuone itakuaje...
[emoji1787][emoji1787]Wa kubusiana mpaka mechi zinahairishwa...
Hahhaahha na gubu liendelee kusemwaIwe hivyo hivyo tuu...
Na mimi ni nani mpaka ni ku let down...Mimi ni nani nikupinge [emoji847]
Na kazi iendelee pia...Hahhaahha na gubu liendelee kusemwa
[emoji1787][emoji1787] Mwenyewe ningeshangaa unaanzajeNa mimi ni nani mpaka ni ku let down...
[emoji23]Na kazi iendelee pia...
Nikipiga hodi mlango utanifungulia 😊[emoji1787][emoji1787] Mwenyewe ningeshangaa unaanzaje
Lazima nifungueNikipiga hodi mlango utanifungulia [emoji4]
Na leo Simba angeshinda ungerudi home unatambaaa...Lazima nifungue
Hahhahaa halafu baada ya mechi kusemwa saa moja na mood yote iliniisha kabisa bora walivyohairisha kabisaNa leo Simba angeshinda ungerudi home unatambaaa...
Kheri mechi ilivyohairishwa
Ungelala nje leo... ungerudi kesho miguu haina ushirikiano...Hahhahaa halafu baada ya mechi kusemwa saa moja na mood yote iliniisha kabisa bora walivyohairisha kabisa
Hahaha kivipi yaaniUngelala nje leo... ungerudi kesho miguu haina ushirikiano...