Marhabaa ,mrembo ,mambo vipiWe mzee shikamoo
Hahahaha, nipo shangazi ,ni msomaji zaidi, maana naona wakulungwa na wazee wenzanangu siwaoni siku hzHatujambo we mzee mbona umeadimika hivi
Wapo busy na majukumu yao nimebaki mwenyewe we mzeeHahahaha, nipo shangazi ,ni msomaji zaidi, maana naona wakulungwa na wazee wenzanangu siwaoni siku hz
Hahahaha, na mm nipo shangazi ,tuko pamojaWapo busy na majukumu yao nimebaki mwenyewe we mzee