Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Mtanzania Thomas Ulimwengu baada ya kukosekana katika michezo kadhaa ya TP Mazembe akisumbuliwa na enka jana amerudi uwanjani na kuisaidia Timu yake kupata ushindi wa magoli 4-1 dhidi AC Rangers katika mchezo wa Ligi Kuu Congo DR, Ulimwengu aliyeibuka Man Of The Match alifunga magoli mawili na kusababisha penati