“Nilipokuwa Rais, Hayati Magufuli alikuwa ni mmoja ya Mawaziri niliowaamini na kuwatumaini, alikuwa jembe langu, ndio maana nilimuweka kwenye Wizara tatu zilizokuwa ngumu anyooshe mambo” - Rais Mstaafu, Dr.Jakaya Kikwete Msibani Chato leo
"Alipojitokeza kuomba uteuzi wa kuwa mgombea wa Urais wa CCM mwaka 2015, sikusita kumpendekeza katika majina matano niliyoyafikisha kwenye kikao cha juu cha chama, sikuwa na tabu na Magufuli ndio jina la kwanza halafu yakafuata mengine”- Rais Mstaafu Dr. Kikwete
“Mheshimiwa Magufuli alinitunuku Kiwanja hapa Chato, kipindi akiwa Mbunge na Waziri, alipokuwa Rais akaongeza eneo, ilikuwa matarajio yangu kujenga nyumba, ili siku akistaafu tuendelee kupiga soga hapa Chato”- Dr.Kikwete
View attachment 1734957