Makapuku Forum

Makapuku Forum

”KWAHERINI”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Mkuu wa Majeshi, Jenerali, Venance Mabeyo, Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa kumuaga Hayati Rais Dkt John Magufuli hapa Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba.

Pichani nyuma kuna picha yenye taswira ya Hayati Rais Dkt John Magufuli akipunga mkono wake wa kuume. Alama hii yaweza kumaanisha salamu lakini pia kuaga (kwaheri). Kwa nyakati za sasa ni wazi kuwa tafsiri ya kuaga ni sahihi zaidi. Huu ni mkono wa kwaheri. Kwaheri Chuma, Au Revoir, Adios, Goodbye Mr President. Pumzika kwa amani.
20210324_185912.jpg
 
Safari Kuelekea Chato, Mkoani Geita.

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt JOHN MAGUFULI umevuka katika kivuko cha Kigongo-Busisi, ukitokea Jijini Mwanza.

Baada ya wananchi wa Mwanza kupata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho katika Uwanja wa CCM kirumba.
20210324_190552.jpg
20210324_190534.jpg
20210324_190508.jpg
20210324_190448.jpg
20210324_190448.jpg
20210324_190422.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom