Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526

Yaani wasikwichikwichi ilhali wife kasafiri?Weekend ndefu hii ...wale wapenzi wa movie ni mwendo wa kupitia popcorns za kutosha
Movie: Trust
Year: 2021
Genres: Drama, Romance
Country: United States
Rates: 5.6/10
Hii sio ya kuangalia na watoto ....
Story line
Mke na Mme mapenzi yao yalianzia since High School, Wakiwa kwenye ndoa Mke anakuja kugundua Mme wake ana mcheat.
Hapo kati kuna twist twist za hapa na pale sisemi ukitazama utaziona mwenyew ila point kuu, Mke alipata nafasi ya kwenda kufanya mishe fulani Paris na alitakiwa kwenda na Artist mmoja ambae anafanya kazi kwa ukaribu na Mme wake.
Lakini ikaja ishu ni kumwambia Mme wake amruhusu aende Paris wakati huo Mme wake aliwahi kumuomba masiku kadhaa watoke wote kwenda kupumzika Paris na Wife alikataa.
Sasa Wife anafanya mchezo mmoja mbaya sana, Kwa attention anazojua mwenyewe anamfanyia mchezo Mme wake kwa kumkodi bidada mmoja am seduce lakini alimpa sharti la kuto ku kwichi kwichi naeView attachment 1734598
Hapo kwenye kumkataza kukwichi kwichi imekula kwakeWeekend ndefu hii ...wale wapenzi wa movie ni mwendo wa kupitia popcorns za kutosha
Movie: Trust
Year: 2021
Genres: Drama, Romance
Country: United States
Rates: 5.6/10
Hii sio ya kuangalia na watoto ....
Story line
Mke na Mme mapenzi yao yalianzia since High School, Wakiwa kwenye ndoa Mke anakuja kugundua Mme wake ana mcheat.
Hapo kati kuna twist twist za hapa na pale sisemi ukitazama utaziona mwenyew ila point kuu, Mke alipata nafasi ya kwenda kufanya mishe fulani Paris na alitakiwa kwenda na Artist mmoja ambae anafanya kazi kwa ukaribu na Mme wake.
Lakini ikaja ishu ni kumwambia Mme wake amruhusu aende Paris wakati huo Mme wake aliwahi kumuomba masiku kadhaa watoke wote kwenda kupumzika Paris na Wife alikataa.
Sasa Wife anafanya mchezo mmoja mbaya sana, Kwa attention anazojua mwenyewe anamfanyia mchezo Mme wake kwa kumkodi bidada mmoja am seduce lakini alimpa sharti la kuto ku kwichi kwichi naeView attachment 1734598
Hapo kwenye kumkataza kukwichi kwichi imekula kwake

unajikaza usimuangushe rafik
Sema hii ni ngumu kuamini ...Ndugu watano wa Familia moja waliofariki kutokana na msongamano mkubwa uliotokea wakati wa kumuaga Hayati Dr. John Pombe Magufuli Uwanja wa Uhuru, wamezikwa jana kwa pamoja kwenye makaburi ya Familia yao yaliyopo nyumbani kwao Kimara Mwisho Dar es salaam.
Ndugu hao ni Suzan Mtuwa pamoja na Watoto wanne ambao aliongozana nao wakiwemo Watoto wake wawili aliozaa na Mumewe Denis Mtuwa ambao ni Natalia na Nathaniel, pia Watoto wawili wa Kaka zake Denis ambao ni Chris na Michelle.
Kwenye tukio hilo Suzan aliongozana pia na Dada wa Kazi aitwaye Anitha ambaye na yeye pia amefariki Dunia na taratibu za mazishi yake zinaendelea.
Kwa sasa Denis Mtuwa amempoteza Mkewe Suzan na Watoto wake wawili (Natalia na Nathaniel) na sasa amebaki na Mtoto mmoja mdogo ambaye siku ya tukio hakwenda Uwanjani. View attachment 1734635View attachment 1734636View attachment 1734637View attachment 1734638View attachment 1734639View attachment 1734640