Good, nisalimie shululuNshakaribia hapa ni nyumbani
Shemeji yako Ni mzee wa churaKwa hiyo Dada yangu bado hajanitafutia shemeji mwingine
[emoji38][emoji38]kujichanganya huko kwiyoooooHahahahahahaha hapana jf imejichanganya
Nakumbuka ulituambiaga humu tumosa anatumia kiswaswandu ndio maana hatumuoniUmeadimika sana
Dah nyumi yote hiyo
Mnakulaga tuNa hainagaa ushemejiiii
Daa so sad, tunalilaaaaAsante pole na wewe ,njia ni yetu sote
Kumbe Ni mzee hivyo huyu!Hatujambo kabisa we mzee vipi wewe
Huyu kibokoKila mtu ana namna yake ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli.
Wakati wengine wametandika kanga huyu Mwanafunzi kaweka daftari , kalamu na tai ya shule, Hapa ni Katoro-Geita.
View attachment 1733455
Duu huyu mzee huyuKaribu sana we mzee
[emoji4][emoji4][emoji4]....nimeipokea kwa mikono miwili binamu. Habari za kupotea?
Karibu sana
Rafiki umefufuka?😳😳😳Nakumbuka ulituambiaga humu tumosa anatumia kiswaswandu ndio maana hatumuoni
Sikufa bhana[emoji1]Rafiki umefufuka?[emoji15][emoji15][emoji15]
Ulikufa bhana!🏃🏃🏃Sikufa bhana[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]kujichanganya huko kwiyooooo
Unanichonganisha nayeNakumbuka ulituambiaga humu tumosa anatumia kiswaswandu ndio maana hatumuoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikufa bhana![emoji125][emoji125][emoji125]
Mi nakwambia kweli[emoji38]sikufa babuuUlikufa bhana![emoji125][emoji125][emoji125]