Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,950
- 96,130
R I P Rais wetu!! Tutaonana baadae[emoji174][emoji174]Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr.John Pombe Magufuli tayari amezikwa kwenye makaburi ya Familia nyumbani kwao Chato leo Ijumaa March 26,2021.View attachment 1734984