Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Akaaa....mi nimekumbushia tu[emoji41]Unanichonganisha naye
Akaaa....mi nimekumbushia tu[emoji41]Unanichonganisha naye
Mwendazake kanyamaza sasa maana tulikuwa hatulali.Hizi ni picha nyingine za matukio mbalimbali kutoka Uwanja wa Magufuli, Chato kwenye shughuli za kumuaga Hayati Dr.John Pombe Magufuli. View attachment 1734561View attachment 1734562
Ulikuwa haulali kwa nini mkuuMwendazake kanyamaza sasa maana tulikuwa hatulali.
Alizidi makelele na kutufokeaUlikuwa haulali kwa nini mkuu
Makubwa haya tafuta mkuu tu wa kumuoa na kukuzaliaShunie naomba unizalie mtoto ntakuoa
Msamehe mkuuAlizidi makelele na kutufokea