Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Niambie babyBaby
Niambie babyBaby
Na uingie kwa miguu yote miwiliNa ukimpata mtu anakupenda unampenda pendaneni tu
Nimejikuta humu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani umeingiaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na uingie kwa miguu yote miwili
Hahahah basi tulia humuhumu mama yanguNimejikuta humu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba wawili hilo sio la kuuliza miguu yote miwili nimeingia nayo [emoji2222][emoji2222]
Asante kwa kunijulia hali shunie.. UbarikiweNafurahi kama unaendelea vizuri baba wawili mimi niko poa kabisa
Grace hajambo mkuu?What she need is just a good friend like me.
Grace weka pembeni kwanza,nataka niibe mpenzi wa mtu hapa tena ni penzi jipya!Grace hajambo mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuaminia mkuu, huwa ukiamua haushindwi kitu..Grace weka pembeni kwanza,nataka niibe mpenzi wa mtu hapa tena ni penzi jipya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baba wawili acha kabisa ndugu yako nimeshikika[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndio
Tubarikiwe sote baba wawiliAsante kwa kunijulia hali shunie.. Ubarikiwe
Safi moud unapendaga kututamanisha na mapicha yakoJioni imeingia pande zetu.
Habari za jioni wakuu View attachment 1685175
Asante young na kwakoNawatakia weekend njema ndugu zangu