Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Halafu unajua unateseka na mapenzi yanguMshaachanaaaa mbonaaa![]()
Halafu unajua unateseka na mapenzi yanguMshaachanaaaa mbonaaa![]()
Hilo liko wazi kwani wewe jaman hunimiss😂😂😂😂Halafu unajua unateseka na mapenzi yangu
Endelea kuota mkuuHilo liko wazi kwani wewe jaman hunimiss
Mtaachana utarudiii tu au ww si ndo ulikuwa mtoto mlito wa lee
😂😂😂😂😂😂 uzuriii na mm ulishanidekeaa na naamini nafasi ntaiapataa tenaaaKupendana napendana mimi na babe wangu kuna watu wanateseka wao
Muwe na usiku mwema jamani
Acha nikamdekekee babe wangu![]()
Nimekumis ujueee baby exEndelea kuota mkuu
Duuh shida ilianzia hapaNdio
Eeh mbona hujaweka wazi watu tuje na Cv zetu za tanga😂😂😂Yani unanirudisha uko nimeshatoka
Daah mbona ilinipita hii...Hahahahahahaha mkuu nishakuwa mshikaji ex babee
Mkuu kiukweli ata mm sjui ilitokeaje mambo ya dunia , kwani dunia ni yetu ?Daah mbona ilinipita hii...
Ila shida nini mkuu kumkimbia cheusi mangala black beuty
Sio yetu kabisaaa tuwaachie wenye nayo..Mkuu kiukweli ata mm sjui ilitokeaje mambo ya dunia , kwani dunia ni yetu ?
Hatujambo moud uko poaHamjambo humu
Niko poa Shunie.Hatujambo moud uko poa
Huku ni nyumbani kwa makapukuHuku wapi tena?
BabyHey..heey