Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Ndo uliyoiona?Hata kuiona kwa picha pia inaniathiri
Ndo uliyoiona?Hata kuiona kwa picha pia inaniathiri
NdioNdo uliyoiona?
Vinci usijali kuwa na amani tunafurahi tu apaSorry mkuu
Tayariiiii
Haya maisha kupata stress ni kujitakia tu
Nilisemaaa mtaachana tuNaishi maisha yangu, napenda maisha yangu mwenyewe namshukuru Mungu kwakwelinaridhika sana na nilichonacho na ninachokipata
Hahahahahahaha mkuu nishakuwa mshikaji ex babeeEeeh umtaraki mkuu Lee
Yaani wewe bwana ndio unachoniombea hikiNilisemaaa mtaachana tu
Na utarudiii tu ,alafu kipindi hicho niko na baby wangu tunaenjoyYani unanirudisha uko nimeshatoka
Sasa nakuombeajeee mazur kwa baby mpyaYaani wewe bwana ndio unachoniombea hiki
Mimi kuachana na mwanaume wangu nitake mwenyewe ndio tutaachana ila kama sitaki labda iwe mipango ya Mungu tuTayariiiii
Mimi huyu Mungu nifundishe kunyamaza tuNa utarudiii tu ,alafu kipindi hicho niko na baby wangu tunaenjoy
Hahahahaahaha kwa hiyo kwangu kumbe ulitaka mwenyewe alafu ukanibambikiziaa kesiMimi kuachana na mwanaume wangu nitake mwenyewe ndio tutaachana ila kama sitaki labda iwe mipango ya Mungu tu
😂😂😂😂😂😂😂😂 hapo nakuonaaa ulivotypeMimi huyu Mungu nifundishe kunyamaza tu
Basi mimi acha nikupe pole tuSasa nakuombeajeee mazur kwa baby mpya
Asantee ex wangu kipenziBasi mimi acha nikupe pole tu
Mshaachanaaaa mbonaaa😂😂😂😂Babe wangu unaona huku tunaombewa tuachaneuliposhikilia endelea hivyohivyo