nakupenda kinomaaa yan kinomaa ila sio kivile🤣Maisha ni hayahaya jamani matamu sanaaa halafu mafupi ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bangi itazuiliwa tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naipenda sana makapuku forum najihisi nipo nyumbani mwenyewe [emoji4] nafanya ninachotaka na ninachopenda
Nitaenda thread ya nani kujinenea zangu kwa lugha kama ninavyofanya makapuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumtaja babe wangu kama hivi [emoji847] si watanifukuza uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahhahah Vinci nikinena kwa lugha huwa nakumbuka tu unavyoniambia shunie umeshaanza na kunena kwakoNena tu mkuu... Napenda tu unavyonena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante sana Mgirikinakupenda kinomaaa yan kinomaa ila sio kivile[emoji1787]
Hahhaha mbona sijawahi tumia hiyo kitu nahisi nikitumia nitachanganyikiwaBangi itazuiliwa tena
asante kwa asante Shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante sana Mgiriki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vinci bwanaNena kwa lugha tu bibie uwezavyo maisha mafupi haya. Anayependwa nawe anainjoi sana. Jealous [emoji17]
Bhangi hata ukiiona tu inakuathiri🤣Hahhaha mbona sijawahi tumia hiyo kitu nahisi nikitumia nitachanganyikiwa
Eeenhasante kwa asante Shunie
Hata kuiona kwa picha pia inaniathiriBhangi hata ukiiona tu inakuathiri[emoji1787]
Eeeh umtaraki mkuu LeeEeenh
Natakiwa nifanye nini eti