ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Hapo kwenye kibonge cheusi nimepapenda zaidi[emoji23][emoji23]Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito kiboko kabisa
Hapo kwenye kibonge cheusi nimepapenda zaidi[emoji23][emoji23]Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito kiboko kabisa
Watumiaji wazuri wa pesa ni lazima pia wajue namna ya kuatafuta pesa.Aweeeee [emoji4]View attachment 1685251
Ana tumbo la kumeza vijiko viwili mara moja?
Povu moud [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tutumie tu hata kama hatujui kutafuta kikubwa uhaiWatumiaji wazuri wa pesa ni lazima pia wajue namna ya kuatafuta pesa.
Siyo kujua kutumia hela wanazotafuta wengine
Hahhaa kabisa yaani cheusiiiiiiiHapo kwenye kibonge cheusi nimepapenda zaidi[emoji23][emoji23]
Hahahha haujawahi kukutana naoNdiyo kwanza naziona dimples kwenye eneo hilo.
Looh kumbe
Tena ule weisi wa kuteleza kama jongooHahhaa kabisa yaani cheusiiiiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] potea kabisa unaambiwa usingoje kusifiwa jisifie mwenyewe ndio mimi kibonge cheusi mangala[emoji23][emoji23][emoji23]
Unanitamanisha na hayo masifa sifa unayojimwagia.
Utanipoteza njia[emoji23][emoji23]
Yanatutamanisha bwanaMapicha yana nini bibie Shunie
Ni nini youngAiseee
Kweli kabisaAweeeee [emoji4]View attachment 1685251
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]