Mnaruhusiwa mkuuJe makapera tunaruhusiwa kuchangia??Au ni kwa makapuku tu?
Habari za kipande hiyoJe makapera tunaruhusiwa kuchangia??Au ni kwa makapuku tu?
Ndio Mkuu
Sio kila rafiki ni mwema, na tunawahitaji pia hao wasio wema ili watupe changamoto za kusonga mbele, za kufika pale ambapo waliamini hatutafika!!
Kuna marafiki ambao ni baraka kwetu kwa kweli
Barikiwa sana jamani
Jamani jamanii
AsanteeNiko gud
AmenBarikiwa sana jamani
AminaaaaMwenyezi Mungu nakuomba unisamehe dhambi zangu zote, nilizofanya kwa kujua na pasi kujua!
Tuko vzuriNatumai wazima!!
Kwa niaba ya nguvu ya daku.
Usiku mwema.
Subiri nikifikia uamuzi huo nitaacha mwenyewe kama wewe ulivyoamua kuacha mwenyeweAcha tuu mama D..
Mimi nimeshaachaga
Eeenh baba wawili mwanaume lazima uwe na kitambi kidogo tu cha kupangusaunapenda kitambi eeh
Hivi hajaja bado@mtu chake
NmekumisEeenh baba wawilo mwanaume lazima uwe na kitambi kidogo tu cha kupangusa
Natumai wazima!!
Kwa niaba ya nguvu ya daku.
Usiku mwema.