Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
EewaaaaaaKwakweli mimi mwenyewe sitaki hata kusikia yaani sitaki acha nipambane na okonkwo wangu wa uko
EewaaaaaaKwakweli mimi mwenyewe sitaki hata kusikia yaani sitaki acha nipambane na okonkwo wangu wa uko
Hahahahaha huku jf unajua umepata kumbe umepatikana woiiiiiiiEewaaaaaa
Yaaaniii acha kabisaa my dear!!Hahahahaha huku jf unajua umepata kumbe umepatikana woiiiiiii
Okonkwo wangu na kitambi nikikupea utaweza![]()
Kumekucha



Yaaaniii acha kabisaa my dear!!
Wameshindikana huko mtaani


Kweli wameshindikana sisi tutawaweza wapiiiiiiiii
Baba wawili huyo naona umeshamaliza kufturu
AiseKhaaaa sijampata jf mie huku kwa mapasua kichwa nimewaachia nyie huku sikuwezi hata
Umejuaje shunie.. Nmemaliza muda si mrefuBaba wawili huyo naona umeshamaliza kufturu
Eeenh bwana baba wawiliAise
Hahahah nimehisi tu kwahiyo hauendi kuswali maana okonkwo wangu aliniaga anaenda kuswaliUmejuaje shunie.. Nmemaliza muda si mrefu
Kweli wameshindikana sisi tutawaweza wapiiiiiiiii
Jamani mzee wangu kama yupo mpakani mwambie arudi Congo atuletee dawa ya Ebola kinga ya corona









Hahaha okonkwo ni nani?Hahahah nimehisi tu kwahiyo hauendi kuswali maana okonkwo wangu aliniaga anaenda kuswali
Kweli bwana ebu mtafute umwambie aturudie na dawa ya Ebola maana pa kupatikana ni Congo tu
Congo au Madagascar dearKweli bwana ebu mtafute umwambie aturudie na dawa ya Ebola maana pa kupatikana ni Congo tu
Hivi umesahau Congo ndio kuna wagonjwa wengi wa ebolaCongo au Madagascar dear
WooooiiiHivi umesahau Congo ndio kuna wagonjwa wengi wa ebola
Hahhaha nahisi hivyo maana wagonjwa wengi wapo hukoWooooiii
Akili yangu inawaza dawa ya corona...
Yes ya Ebola iko Congo, kwani zinauzwa kama paracetamol eeehh
HahahahHahhaha nahisi hivyo maana wagonjwa wengi wapo huko