Shangazi Shunie ,tumsifu yesu kristo, umeamkaje rafiki kipenziHivi hajaja bado
Halo Rafiki yangu Sakayo nimekuja@mtu chake
Nipo Best ,nami nilikumiss mno ,niambie Shangazi ShunieMbona sina raha mimi jamani nimemmiss mzee wangu mimi
Hahahaha, nisamehe nilikua tyt kdgMilele Amina
Nimeamka poa kabisa we mzee mbona ulipotea hivi
Nami pia ,nafurahi sana ,jumapili imeanza vzrPoa jamani nafurahi mnoo kukuona
Kama bado upo mpakani ebu rudi Congo utuletee dawa ya Ebola we mzee inatibu coronaNami pia ,nafurahi sana ,jumapili imeanza vzr
Pole sanaHahahaha, nisamehe nilikua tyt kdg
Ahsante sana,ShuniePole sana
Hahahaha, duh hii corona sasa inatibiwa na kila dawa ,kwani kujifukiza vipi hakusaidii?Kama bado upo mpakani ebu rudi Congo utuletee dawa ya Ebola we mzee inatibu corona
Bwana we rudi tu utuletee hiyo dawa maana uko kwenu si zipo nyingiHahahaha, duh hii corona sasa inatibiwa na kila dawa ,kwani kujifukiza vipi hakusaidii?
MorningNatumai wazima!!
Kwa niaba ya nguvu ya daku.
Usiku mwema.
HayaAsantee
Barikiwa sanaAminaaaa
Hivi ameacha kweliSubiri nikifikia uamuzi huo nitaacha mwenyewe kama wewe ulivyoamua kuacha mwenyewe
BadooHivi hajaja bado