Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tena ukute wengine ni wazazi lakini hawapendi mafanikio yetu.
Rafiki ndo anakuwa kipaumbele mshauri na mwenye kukupa dira ya kimaisha.

NB.
Si kila rafiki ni mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Mkuu
Sio kila rafiki ni mwema, na tunawahitaji pia hao wasio wema ili watupe changamoto za kusonga mbele, za kufika pale ambapo waliamini hatutafika!!
Kuna marafiki ambao ni baraka kwetu kwa kweli
 
20200502_104449.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom