ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Mmmhhhhh jirani wee[emoji23][emoji23][emoji23] binamu yangu anafaidi sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhhhhh jirani wee[emoji23][emoji23][emoji23] binamu yangu anafaidi sana kwa kweli
[emoji23][emoji23]tokahuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]mmm Bora ubaki kuwa mdogo tuHahahah,nikiwa mkubwa nataka kuwa kama binamu Obe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya nyie jazaneni ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ili uwakule wote kwa pamoja ila binamu kidume bwana na kinafaidi
Hahahaha binamu amekuwa mpira wa kona, kila mtu anautakaHahaha anashindwaje kufurahia wewe mtu anagombaniwa kila mtu anamvutia kwake
[emoji23][emoji23][emoji23] kuwa makini binamu aisee, halazi damu yuleAshatushtukiaaa sio leo mchana ananimbia kama nina nusu gharama ya ile pesa aliyosema nimpe mama ashura alafu akifika usku atanirudishia mara adai hajatembea na wallet nikaona ujinga sijamjibu
Hapana shunie, situmii ttcl mimiNdio bwana ebu tuma si ndio menu yenu hiyo ya t pesa
Eti baba wawili wewe si unatumia ttcl hiyo sio menu ya t pesa ningendako
Kuna mtu amehack hii account jirani[emoji2][emoji2]Yaani sijui nani kamuambukiza hako katabia kachafu jirani yangu[emoji134][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya nyie jazaneni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahh ebu hukoKuna mtu amehack hii account jirani[emoji2][emoji2]
Siyo wee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe sio kweli
[emoji2][emoji2][emoji2]hamna kitu jirani ni ushauri tuKwann jirani