Makapuku Forum

Makapuku Forum

mkwepu jr u khali gani Maalim hebu nitafutie moudgulf aje maana niliodhani ni ndugu zangu wanachafua jina langu ambalo nimetumia waganga kulijenga angalau lifahamike.

Ndugu zangu wenyewe ndo hawa hawa Lee na ningendako ambao kama unamjua mtu asiyejulikana nitafute kwa namba ya ttcl tupange mkakati
Anko ujuee mimi na wewe siwez kuwa mbaya kuna mtu anahack simu yangu
 
Napita tu kuwasalimia ndugu zangu ndani ya jukwaa hili adhimu.

Pole sana Shunie kwa msiba, duniani tunapita tu nawashangaa sana wanaohangaika kujenga njiani. Poleni sana na family.

Hivi sijawaambia hili jambo leo. Nisameheeni. Nilikuwa nimeenda court leo ndo natoka, tatizo ni lile lile sema hakimu ndo kubadilishwa.
Nitawaambia tena tarehe tajwa
He'e tatizo gani tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anko ujuee mimi na wewe siwez kuwa mbaya kuna mtu anahack simu yangu

Nilitaka kushangaa sana kwa kweli, watu wabaya sana. Inawezekana Maria kachukia ulichomfanyia valentine's day ndo akahack.

Jaribu kumtafuta nimekutana naye anatoka kununua 2p aka morning after pill. Alikuwa anauliza kama ninajua kuchomoa mimba.
 
Maria ni wako usiniletee kesiiii...mm hapa nimebakiza ttcl tu na hana sasa ukimpa umenunuaa kesiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom