ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Najaribuuu hapa inagomaa
Najuaaa unanimisiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Yaani sijui nani kamuambukiza hako katabia kachafu jirani yangu[emoji134][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Apooo sawaa nilijua ni wewe ....bahatiii yake husna...sijaandika mimi. Angalia maandiko anko, kuna mtu ananitafuta maneno
Hapana shunie, situmii ttcl mimi
Ijmaaa mbalii kwanii[emoji4][emoji4][emoji4]Ebu fanya uende kwa wakala basi [emoji847]
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wee haya tu.....nilijua tu simu yako imehackiwa maana sio kwa kuniharibia kwa jirani yako ambaye bahati mbaya sana mimi nnampenda mno juzi tu nimemnunulia pipikoo ajikinge na corona
Napita tu kuwasalimia ndugu zangu ndani ya jukwaa hili adhimu.
Pole sana Shunie kwa msiba, duniani tunapita tu nawashangaa sana wanaohangaika kujenga njiani. Poleni sana na family.
Hivi sijawaambia hili jambo leo. Nisameheeni. Nilikuwa nimeenda court leo ndo natoka, tatizo ni lile lile sema hakimu ndo kubadilishwa.
Nitawaambia tena tarehe tajwa
Yaani mimi nakumis kweliuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema kweli jamani
Sent from my iPhone using Tapatalk
Alikamatwaa gest na jirani yake ni mfano kwa madai yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuu....wife, usiwasikilize hawa, hivi ukiwa mke wa pili ndo sababu ya wao kukupa maneno ya presha!?
Nimetoa mfano tu wala sio kweli.
Basi wengine wataamini kumbe hii mke wa pili ni mfano tu
Uongooo sema ukwel.....nimeishtaki serikali kwa kuchelewesha malipo yangu ya korosho. Sasa utetezi wao ni kuwa Zito kaandika barua wedikapu hela zimezuiwa. Hakimu kujitoa.
Nilikuwa tu basi utashangaa sana
We ndo Obe mfyuuAlikamatwaa gest na jirani yake ni mfano kwa madai yake
Nilikoseaaa si unajua nimezoea sana gest....jamani msisikilize haya maneno. Tangu lini hotel ikawa guest?
Binamu yangu mimi mzee wa kugombaniwa [emoji847] asante binamu nimeshapoa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ijmaaa mbalii kwanii[emoji4][emoji4][emoji4]