Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hahaha hahaha hahahaMm na ww ni kitu kimoja mama naah
Asa mbona na wewe hujaota eti
Hahaha hahaha hahahaMm na ww ni kitu kimoja mama naah
Hahah huku hakuna watekaji shunieUko kwako unapoishi hakuna mtekaji kweli
Nakuona jirani,,,kwema jiraniJirani wee...![]()
Hahaha binamu inabd aje na hadithi zingine sio kuja na mambo ya kangombaAfadhali unisaidie kukumbushia
Kwemaa jirani yanguNakuona jirani,,,kwema jirani
Vizuri kama upo salama jirani,hope pasaka pia imeenda salama vile vileKwemaa jirani yangu
Asante jirani, imeenda poa nashukuru MunguVizuri kama upo salama jirani,hope pasaka pia imeenda salama vile vile
Ok sawa jirani,tuwe na jioni njema jiraniAsante jirani, imeenda poa nashukuru Mungu
Amina...Ok sawa jirani,tuwe na jioni njema jirani
Tupo kevin karibu sana
Mali ya T....Muke halali ya T
Mama naah wa Baba naah
EwaaaaaMali ya T....
T mali ya Sakayo
Ikiitwa zawadi dei si mbayaSiku moja baada ya Krismas huwa ni boxing day.
Sasa leo ni siku moja baada ya Pasaka, ingekuwa mifuko ya plastic haijapigwa marufuku basi tungeiita plastic day.
Anyway, binamu yenu nipo, namalizia sherehe hapa na sitaacha kuwasalimia wadau wote wa jukwaa hili zuri

Ewaaa uko na kichwa chepesi na hapo kwenye likes kama umependa alichoandika mtu unabonyeza like unakuwa umempa like
Ndio maana amekuwa kipipa ha ha ha ha ha