Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ulichomuota jamaniUgundue nini eti
Ulichomuota jamaniUgundue nini eti
Hahaaha hivi binamu ww si ulisema una risit ww...malipo kwa kweli binamu hata nikiongea nitaonekananatunga maneno, si unakumuka niliunganishwa eti mimi nina kangomba, basi mkulu si akasamehe kwamba tusirudie tena, sijalipwa kama alivyoagiza. Sasa hivi najiuguza tu hapa.
Huyu Tumosa kweli nilimuahidi zawadi fursana, lakini naona hali imekuwa tete, inabidi asubiri Krismasi maana imekaribia nitakuwa nimelipwa.
Mwenyewe leo nimeshindia pipikoo
Mara ya 5 narefresh sasa..Sina ubavu wa kukukomesha baba Naah wangu
Ngoja nisikitike kidogo, TitititititiiSifa za makapuku
Wanywa pombe kali
Wanamiliki wanawake wazee
Chakula kidogo


Hahaha kumbe na ww ulikuwa una kangomba,,binamu hauishiwi sababu aisee,,ahadi zote zile zmeenda na maji
Hahaha hahahaMm niko poa mama naah wa baba naah
Mwambie mie ndo muke halali ya THahhaahha
Huyo rafiki yako akipita lazima akujue
We rafiki wa T nakusalimia mm
TayariSijajibiwa bado
KwendaEbu uko naomba nikuje
Ni siri yetuUlichomuota jamani
Ina maana kweli kabisaaa T huoniiMara ya 5 narefresh sasa..
Ni njema,hawajamboNipo ndugu yangu,habar za kwako?? anko zangu hawajambo huko
...malipo kwa kweli binamu hata nikiongea nitaonekananatunga maneno, si unakumuka niliunganishwa eti mimi nina kangomba, basi mkulu si akasamehe kwamba tusirudie tena, sijalipwa kama alivyoagiza. Sasa hivi najiuguza tu hapa.
Huyu Tumosa kweli nilimuahidi zawadi fursana, lakini naona hali imekuwa tete, inabidi asubiri Krismasi maana imekaribia nitakuwa nimelipwa.
Mwenyewe leo nimeshindia pipikoo



Acha kunipima basi...mimi mtu mzimaIna maana kweli kabisaaa T huonii
This is serious
Hahaha hahaha hahaha hahahaAcha kunipima basi...mimi mtu mzima
Kaaaah ! Sasa hapa unatangaza ama unakazia..?Mwambie mie ndo muke halali ya T
Nakazia tuu jamaniKaaaah ! Sasa hapa unatangaza ama unakazia..?