[emoji1][emoji1][emoji1]halafu we hayaShikamoooo
Mdogo wake mie shikamo
[emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki shikamooo we aunty mary
Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge.....
Jamani nini shida bi mdogo, ila usianze kuzungumzia habari za kuomba hela [emoji6]Mimi sina hakika
Kwavile we hujambo..ngoja na mimi niwe sijambo tuu maana sina namna[emoji4]
Tupo wazima za wewe
Usijali mkuu karibu sana na uwe na amani tu
Km wakija na kusema wao ndo wamenuna waongeze na juisi ya NDIMU bila kusahau pili pili kichaa[emoji36][emoji85]Woyooooo
Nani kanunaaaaaa
Nauliza tena nani kanunaaaa watakuwa wa browser hao wamenuna
Yani huyu na dadaake shunie ni sidaa [emoji3][emoji3]Hapa ndo unaniachaga hoi ujue[emoji23][emoji23].
Uko fresh eti.?
[emoji125][emoji125]Yani huyu na dadaake shunie ni sidaa [emoji3][emoji3]
Jamani nini shida bi mdogo, ila usianze kuzungumzia habari za kuomba hela [emoji6]
Hahahahaha mama pambana na khali yako[emoji38][emoji38][emoji38]hiyo ndo sababu kubwa ujue,nnakonda na mijihela ya kusini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbeKwakweli Tumosa ni koboko kabisa [emoji125][emoji125]
Hahahahaha mama pambana na khali yako
Hupati ki..hupati kitu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe
[emoji38][emoji38][emoji38]hata utoe kamasi za damu, huhurumiwi ng'oo[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Kwamba umekaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariMpk wadogo zake anawapa sikamo na magoti
[emoji38][emoji38][emoji38]hata utoe kamasi za damu, huhurumiwi ng'oo