Baba Naah wangu jamaniiMama Nah
Sio kweeli jamanii
Naona mwalimu pole na kaziEwaaa uko na kichwa chepesi na hapo kwenye likes kama umependa alichoandika mtu unabonyeza like unakuwa umempa like
Heshima yako binamu![]()
Na kwako pia THeri ya pasaka wadau wa kapuku Forum.
Muwe na nyakati njema.
Na kwako pia baba NaahHeri ya pasaka wadau wa kapuku Forum.
Muwe na nyakati njema.
We vipiiiii na makaburi yako naona ndio umeachiwaNaona mwalimu pole na kazi
Mimi sijambo piaMuhali gani wapendwa wangu
Mimi sijambo nawasalimu kaktika Nina LA bwana
Muwe na siku njema mno
Asante T na kwako piaHeri ya pasaka wadau wa kapuku Forum.
Muwe na nyakati njema.
Mama wa kupandishwa cheo na kuchapia toka upandishwe cheo ni kuchapia tuMuhali gani wapendwa wangu
Mimi sijambo nawasalimu kaktika Nina LA bwana
Muwe na siku njema mno