Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna rafiki yangu huwa anasoma pakupu forums kwa browser... yeye sio member wa jf..

Sasa hajui kama mimi ni member jf na kapuku, so huwa anakuja ananipigia story za kapuku kama anawajua kina shunie na kina obe kama yuko yuko nao humu..

Yaani he has the full story of you guys!

#sio wewe lakini mkuu
Hahaha hahaha hahaha hahaha

Nimependa hizo kamba
 
...malipo kwa kweli binamu hata nikiongea nitaonekananatunga maneno, si unakumuka niliunganishwa eti mimi nina kangomba, basi mkulu si akasamehe kwamba tusirudie tena, sijalipwa kama alivyoagiza. Sasa hivi najiuguza tu hapa.

Huyu Tumosa kweli nilimuahidi zawadi fursana, lakini naona hali imekuwa tete, inabidi asubiri Krismasi maana imekaribia nitakuwa nimelipwa.
Mwenyewe leo nimeshindia pipikoo
Hahaha kumbe na ww ulikuwa una kangomba,,binamu hauishiwi sababu aisee,,ahadi zote zile zmeenda na maji
 
Kuna rafiki yangu huwa anasoma pakupu forums kwa browser... yeye sio member wa jf..

Sasa hajui kama mimi ni member jf na kapuku, so huwa anakuja ananipigia story za kapuku kama anawajua kina shunie na kina obe kama yuko yuko nao humu..

Yaani he has the full story of you guys!

#sio wewe lakini mkuu
Hahhaahha
Huyo rafiki yako akipita lazima akujue

We rafiki wa T nakusalimia mm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom