mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Kwani huyu nimdoli.... Hamkulani??Ndo maana huwa naumwa sana kichwa eeh




Kwani huyu nimdoli.... Hamkulani??Ndo maana huwa naumwa sana kichwa eeh




We babu ake shunie, sie hatukulani sanaKwani huyu nimdoli.... Hamkulani??![]()
Mnakulana kwa quota sio?We babu ake shunie, sie hatukulani sana
Tupo wazima... Wewe?Watu wa humu mupo wasima,![]()
Nashukuru nimepata mwalimu mzuri....naamini nitakuwa jf expert member very soon...nashukuru sana dada shunieEwaaa uko na kichwa chepesi na hapo kwenye likes kama umependa alichoandika mtu unabonyeza like unakuwa umempa like
Asante mpenzi mimi sijambo.. Wewe je?Ikiitwa zawadi dei si mbaya
Asante kwa kutusalimia nami nakusalimia sana ww pamoja na ABJ
ShikamooooTupo wazima... Wewe?
Mdogo wake mie shikamoAsante mpenzi mimi sijambo.. Wewe je?
Mimi sina hakikaTupo wazima... Wewe?
Kwavile we hujambo..ngoja na mimi niwe sijambo tuu maana sina namnaAsante mpenzi mimi sijambo.. Wewe je?

Usijali mkuu karibu sana na uwe na amani tuNashukuru nimepata mwalimu mzuri....naamini nitakuwa jf expert member very soon...nashukuru sana dada shunie
Ukiota ww mama naah wa baba naah na mm nimeotaHahaha hahaha hahaha
Asa mbona na wewe hujaota eti
Ebu acha uongo we baba wawiliHahah huku hakuna watekaji shunie
Mm nakumbukaga alisema kipindi cha koroshow yeye sio kangomba ako na shamba lakeHahaha binamu inabd aje na hadithi zingine sio kuja na mambo ya kangomba
WoyoooooMali ya T....
T mali ya Sakayo
Tupo wazima za weweWatu wa humu mupo wasima,![]()
Kiasi chakeMjukuu wangu naona umepata mgeni mwanafunzi.... Kumbe mwalimu mzuri eeh ha ha ha ha ha ha