Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
@Paw kina sakayo wanakuita hukuHahaha hahaha hahaha
Namwambia pm za T hazitoki
@Paw kina sakayo wanakuita hukuHahaha hahaha hahaha
Namwambia pm za T hazitoki
Ila mama Nah kwanini unaguna..?Mmmh
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Naelewa nini eti baba Naah...
Mie nakupenda na unajua hilo
Za jioni shemela wa mimiShemela wangu mm apa
Hahaha hahaha hahaha@Paw kina sakayo wanakuita huku
NakumissIla mama Nah kwanini unaguna..?
Lia kidogo hebuI know my love..
I love you too..
Unataka nilie hapa kwenye halaiki ndio utaelewa..?
Marhabaaaashkamoo
Hapo sawa, nilishaanza kupata furaha, nikajua ya kale yamepita, kumbe bado unaendelea na njia ya zamani.Huyu huyu unayemjua binamu anko wako mwenyewe
Hata Mimi nmemmiss kaka anguningendako baba wawili wangu mm wa kudownload kiukweli nimekumiss jamani
Aliyekuteka akuachie basi jamani ata kidogo tu
Salama sana DJ ObeSalama kiongozi! Heri ya Pasaka
Kitambo sana
Mtwara safi sana, hakuna malalamiko kibinafsiSalama sana DJ Obe
Za Mtwara
Mama JJ, asante kwa pilau la PASAKA