Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Asante nawe piaaHappy Easter wadau wa jukwaa hili.
Mh tutafanya basi ukiwa likizo baba naahWalaah nitakuja kweli ...
Ili mradi hiyo tarehe nisiwe na ratiba za pori tuu..
[emoji3][emoji3][emoji3]shkamooNaona mwalimu pole na kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeonaeeee
We uko na maakili mengi mengi sana
Tukutane wapi etiI WILL BE THERE..
PLAN THAT THING FOR REAL ..
Hataki kukulwa...Utaki nn eti
Asante heri naweHeri ya pasaka wadau wa kapuku Forum.
Muwe na nyakati njema.
Natania...Waaachaaaa
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maakili mengi si umenirithisha
Hajibu sms zangu..Hili sio swali unatakiwa uende tu
AiseeeHataki kukulwa...
Ila ngoja nirudi, nimiss kula mzigo kinguvu nguvu.. [emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha hahahaHajibu sms zangu..
Amen dada [emoji7][emoji8]Muhali gani wapendwa wangu
Mimi sijambo nawasalimu kaktika Nina LA bwana
Muwe na siku njema mno
Tania kabisaaaNatania...
Nilikuwepogi...Na wewe ulikuwepo sitaki kuamini mm na kama ulikuwepo haujajisema kama ni wewe
Hahaha hahaha hahaha hahahaNilikuwepogi...
Sema nilikuwa natumia Id fulani hivi mwanzoni ilikuwa na jina langu Halisi..
Eeeeeh ! Mamaaa mtumeee! Bora hukuweka tuu.Kuna siku kidogo niweke uzi umekufwa....maana sikukuona kabisaaa jamanii
Ulienda wapi eti...Eeeeeh ! Mamaaa mtumeee! Bora hukuweka tuu.