Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Na mm najua unavyompenda baba naah wakoHahaha hahaha hahaha hahaha
Naelewa nini eti baba Naah...
Mie nakupenda na unajua hilo
Na mm najua unavyompenda baba naah wakoHahaha hahaha hahaha hahaha
Naelewa nini eti baba Naah...
Mie nakupenda na unajua hilo
Ebu ngoja kwanza imekuwaje dada acha ukali uliaga wwHebu hukoooo
Eenh shemeji kafanya nnShemeji
Wasage chupa wanywe..Woyoooooo
Nani kanuna wanaofatilia kwa browser
Wasage chupa wanywe..Woyoooooo
Nani kanuna wanaofatilia kwa browser
Ebu lia jamani nione machozi yakoI know my love..
I love you too..
Unataka nilie hapa kwenye halaiki ndio utaelewa..?
Sasa hivi shemela wangu za usiku bwanaZa jioni shemela wa mimi
Litaje hebu..Hahhahahha
Baada ya kutumiwa hela nikafuta text nakumbuka jina la mwanzo tu
Nakazia mimiLia kidogo hebu
I miss you too baby..![]()
Aibu kwa nani etiiiiiAwww![]()
Hivi binamu korosho ulilipwaMtwara safi sana, hakuna malalamiko kibinafsi
Vipi projects zinaendeleaje kiongozi
Kama yapi etiMengi aiseee
Aibu kwa nani etiiiii
Binamu we kiboko jamani wote hao unawajua...eeeh, pilau 😳 naamini mlipunguza sauti maana watu wakisikia pilau nyingine miguno kama kina Cherokee Nyomi.
Au hii ni pilau pilau kabisa ile ya kama biriani bila Mariam mwenyewe?
Binamu yake niko nae hapa...kwema sana binamu, masiaha yanaendeleaje mdau
Mida inatufanya tusionane kabisa, hata jirani yako simuoni sana