Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nipo salama kabsa binamu,vp malipo bado tu binamu??dada angu Tumosa ameshachoka kusubiri fursana

Jirani atakuwa katekwa labda[emoji23][emoji23]


...malipo kwa kweli binamu hata nikiongea nitaonekananatunga maneno, si unakumuka niliunganishwa eti mimi nina kangomba, basi mkulu si akasamehe kwamba tusirudie tena, sijalipwa kama alivyoagiza. Sasa hivi najiuguza tu hapa.

Huyu Tumosa kweli nilimuahidi zawadi fursana, lakini naona hali imekuwa tete, inabidi asubiri Krismasi maana imekaribia nitakuwa nimelipwa.
Mwenyewe leo nimeshindia pipikoo
 
[emoji2][emoji2][emoji2] acha kunichekesha shunie,,mtekaji yup?le madame??mwanae yule mpenda chura alishaniharibia kitambo

btw,,mambo vp lkn Shunie??habari za pasaka??hope unasherehekea vyema huko ulipo
Pasaka ipo poa baba wawili kwahiyo tuseme huna mtekaji ww ebu acha uongo tuachane na habari za madame
 
Binamu njia ya zamani ndio mpango nampenda sanaa anko wako lee

...najua na hongera sana. Unastahili cheti cha uvumilivu maana anko wangu Lee eti tangu Ijumaa kuu alijifungia hotel na yule dada bank teller akasema atatoka siku ya ufufuo, sijamuona leo labda atatoka kama Yesu alipoamua kwenda kujionesha kwa wanafunzi wake. Kuwa mvumilivu
 
Back
Top Bottom