Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Asante kheri kwako pia kpenziMimi sijambo pia
Heri ya pasaka dear
Asante kheri kwako pia kpenziMimi sijambo pia
Heri ya pasaka dear
MfyuuuuuuMama wa kupandishwa cheo na kuchapia toka upandishwe cheo ni kuchapia tu
Asante dearAsante kheri kwako pia kpenzi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante binti wa mwakaleli.
Mfyuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahhaha
Mama naah ndio hasira za kutokukulwa au ndio unataka kuwa chizi kwa kuanza kucheka cheka jamani nimekumbuka makapuku ileeee ulivyokuwa unamwambia T eti hakukuli umeshaanza kucheka cheka hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imepita hiyoWoyooooo
Mweka hazina nipo hapa
Basi kuna hater watapinga
Halafu fwala kwetu ni nakupendaUchochezi jamanii baba Naah
Sijaelewa yaan kumquote wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh...
Jamani jf kila mtu anadai hanifahamu..
Niacheni basi..
Huyu huyu unayemjua binamu anko wako mwenyewe.....ha nha ahahaah, ni huyu huyu tunayemjua au, maana Pasaka hii watu wanafufuka upya. Ni wakati wa wao kuzika penzi la zamani, kusaka talaka na kuwa na penzi jipya (ufufuo). nNilikuwa chechi leo
Mm namwamini mama naah sababu hatufichani@Shunie sema ukweli wa moyo..?
Nakuamini mama naaahTangu lini huniamini eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha nileft mie niende kwa video koluIt's a mistake..! Muache mama Nah wangu..
Mbona sielewi quote ipiiiMama Nah nisamehe bureeee...
Mara ya 3 naomba msamaha ! Na ile qoute nimefuta..
Eeeenh umetublock mpaka hukuPm haitoki kwangu...
Mm zaidi jamani nakupenda mrembo wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupenda mimi wewe dada
Kwahiyo ile ya tigo si ndio uliyomblockHahahaa...+ 974 *#*5569