EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Pamoja sana braza.Pouwa mkuu.....
Pamoja sana braza.Pouwa mkuu.....
Namaanisha mamende kama sumbaiMende tena? Namuogopa sana huyo mdudu shemeji.
Ndiyo shemeji, ila asiwe na koloni analomiliki. Niwe peke yangu ni-enjoy my time shemejiDuh! Pole sana shem. Mungu atakusaidia utampata mwingine, kwani upo tayari kuwa na mwingine?
Ahaa, ila sumbai yuko hosted somewhere, isn't he?Namaanisha mamende kama sumbai
Wahaya kwa kujisifia imepitiliza..leo nimeiskia hii...............Matangazo ya vifo ...Ndugu Datius Rweyemamu wa masaki anasikitika kutangaza Kifo cha mwanae sophia Rweyemamu wa oysterbay kilichotokea jana America Baada ya Kupaliwa na Burger akiwa anaendesha Buggati yake mpya la bilioni 4 likiwa full Tank Msiba utafanyika kwa aunt yake australia ..Taarifa ziwafikie ndugu zake wote wa singapore ;Dubai;India;Ugiriki pamoja na house girl Clara aliyekua China kwa shopping ya vyakula vya Mbwa![]()
Hahahaaa....labda kama mwanaume atabaki peke yake dunianiLinamo bado hajaibiwa na Youngblood???
Na nyie bahatisheni tuoneMwaka huu mmebahatisha.![]()
![]()
![]()
![]()
Naogopa kutumbuliwa na cute bEti????? Njoo tufarijiajee mpendwa.....
Hakuna kitu kama hicho.Ahaa, ila sumbai yuko hosted somewhere, isn't he?
Ukishikwa shikamanaUkibebwa bebeka
Kimba fcSio kimba fc.... Ni simba fc
Au mbumbumbuu fc
umepagawa kijana unaongea peke yako roadKwahiyo brother unanishauri nifanye yale mambo yangu ama vipi.!!![]()
KIMBA SC![]()
Vyura FC
Mkia FC
Simbwa FC
Matopeni FC
Wamchangani Fc
Umbea Sc
..........
