Wewee... achana na huyo.Eti????? Njoo tufarijiajee mpendwa.....
Teh .....le mendez.....Hata wewe unafaa kuwa mende kwake.
![]()
![]()
Endelea kujifariji bro.umepagawa kijana unaongea peke yako road
Aisee kweli nimeamini.Bwagamoyo babe
Pole sana brother.Binadamu wanafiki sana.
Ni Hayo tu
Jipu kwakweliHuyo pupil jipuuu
Hata mimi naonaPole sana brother.
Bila unafki mambo hayaendi.
Ha ha ha haaa, The Jina.Binadamu wanafiki sana.
Ni Hayo tu
Jimena njoo faster uongeze mafuta hapa kibatari kinazima.Usiku mwema wakuuuu
Mi natumia Nokia 1100 ni orijinoNinayo ya akiba kama utahitaji uniambie.
Jipu kwakweli
Siwezi kuogopa. Sababu nalijua hilo hawanipi tabu![]()
![]()
![]()
usiogope